Monday, November 3, 2014

Home

Je wewe ni mfanyabiashara, mfugaji au mkulima? Na unahitaji mafanikio?
Usijali jiunge na Juhudi saccos iko kwa ajili yako itakuwezesha.

Juhudi Cooperative and Credit Society  
(Juhudi Saccos) ni ushirika wa akiba na mikopo unaoundwa na wakazi wa Mzinga- Kibeberu na wakazi wa maeneo ya jirani ya jijini Dar es Salaam.
Ushirika huu umesajiliwa mnamo tarehe 20 ya mwezi wa kwanza mwaka 2014 kama asasi ya kutoa huduma za kifedha chini ya sheria ya vyama vya ushirika ya mwaka 2014.


Ofisi za Juhudi Cooperative and Credit Society















                                     


                       
Pichani mkono wa kushoto ni mojawapo ya kilimo maarufu cha zao la nyanya ambazo hulimwa kitaalam zaidi na hujulikana kwa jina la greenhouse farming, nyanya hizi hulimwa kwa kuzingatia kiwango maalum cha joto, upepo, mvua na hali ya hewa kwa ujumla.












Ufugaji wa mifugo mbalimbali kama vile kuku, N'gombe, kondoo na mbuzi ni mojawapo ya shughuli za kiuchumi za wakazi wa maeneo ya kibeberu- Mzinga kitunda mkoani Dar es Salaam.

Wakazi hawa nao wamejiunga katika ushirika huu wa Juhudi Saccos ili waweze kujiendeleza zaidi katika nyanja hii ya mifugo


No comments:

Post a Comment