(b) Mwanachama atakapojiunga na chama atalipa kiingilio cha Shs 50,000/= na kupatiwa hisa 10 zenye thamani ya Shs5,000/= kila moja. Mwanachama aliyekamilisha kulipia hisa zote atapewa hati ya kumiliki Hisa
(c) Mwanachama anashauriwa kuweka akiba zaidi maana mikopo inatolewa kwa uwiano wa mara tatu ya akiba
(d) Mwanachama anaweza kukopa baada ya kutimiza miezi mitatu chamani
Kwanini uwe Mwanachama?

Ukiwa mwanachama wa ushirika huu utaweza kufaidika na kunufaika na vitu vifuatavyo:-
- Utaweza kufungua akaunti za huduma mbalimbali bure
- Utaweza kupata mikopo ya riba na masharti nafuu
- Utaweza kupata faida nono kwenye akiba na amana
- Ushauri na semina mbalimbali kwa wanachama
- Mikopo mara tatu ya akiba
- Kujijengea tabia ya kujiwekea akiba, kutumia mikopo kwa busara na kufanya marejesho kwa wakati
AINA YA MIKOPO INAYOTOLEWA
- Mikopo ya biashara
- Mikopo ya maendeleo
- Mikopo ya dharula
- Mikopo ya elimu
- Mikopo ya vikundi
- Mikopo binafsi
RIBA INAYOTOZWA
- Mikopo yote itakayorejeshwa ndani ya miezi mitatu itatozwa riba ya asilimia 4.2% kwa kila mwezi
- Mikopo yote itakayorejeshwa miezi minne hadi mwaka mmoja itatozwa riba ya asilimia 15% ya mkopo wote
- Mikopo ya dharula ni ya mwezi mmoja tu na itatozwa riba ya asilimia 20%
No comments:
Post a Comment